
Gari likiteketea kwa moto

Gari likiwaka moto karibu na kituo cha mafuta

mashuhuda wa Ajali
Lori lawaka moto mapema jana jioni mjini Arusha maeneo ya shamsi karibu kabisa na kituo cha mafuta cha Mt Meru chanzo cha ajali hiyo bado kinafanyiwa uchunguzi
0 comments :
Post a Comment