SIKILIZA NA ANGALIA ALICHO SEMA HAPA
HAYA NDIYO MANENE YA ANTY EZEKIEL KIPINDI CHA MKASI SOMA HAPA!!!?
Mwadada Aunty star wa bongo movie hapa nchi hivi karibuni aliojiwa na kipindi maarufu hapa nchini cha Mkasi kinacho endeshwa na mtangazaji mahiri Salam Jabir. Aunty aliulizwa maswali mablimbali kuhusu maisha yake na maisha ya ndoa yake. Pia aliulizwa juu ya ugovi wa Wema Sepetu na Kajala Masanja. Ungana na TEAM UKWANZA kila mara ukipata nafasi.
SIKILIZA NA ANGALIA ALICHO SEMA HAPA
SIKILIZA NA ANGALIA ALICHO SEMA HAPA

0 comments :
Post a Comment