Wadada
hawa hucheza Nyimbo ambazo zimeimbwa na wasanii wengine hasa hupendelea
Taarabu au hata zile zenye Sebene zuri ambazo zimetokewa kupendwa na
Watu. katika Pita pita zangu kusaka habari katika Usiku huo wa pasaka
Nilibahatika Kuingia katika Ukumbi Mmoja na Kukutana na hichi kituko....
Siwezi
sema mengi kama Tujuavyo makundi yanayojiita hili jina yanajulikana
nini wanafanya wawapo stejini Nikaona si Vibaya Ni ka Share na wewe
ndugu Msomaji.
Lakini
Tunawaomba wawe wanacheza tu lakini Kufikia Kuvua Nguo Hadharani si
Kitendo Cha Busara kabisa Tuna jua wanatafuta Pesa lakini Pesa kwa
kujidhalilisha Hii si Sawa.
0 comments :
Post a Comment