Unajua imekuwa ni kawaida sana kwa wazazi kuilaumu serikari mara watoto wao wanapopata matokeo mabaya ya mtihani. Kauli nyingi hujitokeza mara baada ya matokeo kutoka wakidai waziri wa wizara fulani awajibike kwa matokeo mabaya ya wanafunzi. Hebu tuangalie hili suala kwa makini, waziri anahusikaje na matokeo mabaya ya mwanao kwa huu upuuzi wanaoufanya? Yaani waziri aanze kazi ya kuwatangaziwa wanafunzi kuwa mapenzi na shule haifai? Jamani nadhani sasa ifikie muda wazazi tuamke, tushirikiane na walimu kuhakikisha wanafunzi hawajihusishi na mambo kama haya mpaka watakapo maliza masomo yao.
KUNA MATUKIO MENGI SANA YANAYOSHUSHA ELIMU TANZANIA. HEBU ONA WENGINE HAWA WAKIFANYA MAPENZI KANDOKANDO YA  DARASA

0 comments :

Post a Comment

 
Top
Bongohots.blospot.Com