Drama ya talaka ya Jay Z na Beyonce imeingia hatua mpya kutokana na ripoti kuwa Bey aliwafukuza mashabiki wa kike walioingia kwenye chumba cha kubadilishia nguo cha mume wake wakati wa ziara yao, On The Run.
Beyonce na Jay Z wanaendelea na ziara hiyo lakini tetesi za uwezekano kwa kuwepo wa talaka yao zimeendelea kushika kasi. Vyanzo vimesema kuwa uchepukaji wa Jay Z umemvunja moyo mkewe na hivyo kuna uwezekano mkubwa wakaachana.

Ripoti mpya kutoka jarida la Star inadai kuwa mashaka kati ya wanandoa hayo ni mengi. Jarida hili limevinukuu vyanzo vilivyosema: Jay alikuwa amezungukwa na wasichana wengi chumbani mwake na Beyonce akawafukuza.” Limesema vyanzo vimedai kuwa wanandoa hao wanatumia vyumba tofauti vya kuvalia japo vipo jirani.
Drama ya talaka ya Jay Z na Beyonce imeingia hatua mpya kutokana na ripoti kuwa Bey aliwafukuza mashabiki wa kike walioingia kwenye chumba cha kubadilishia nguo cha mume wake wakati wa ziara yao, On The Run
Next
Newer Post
Previous
This is the last post.

0 comments :

Post a Comment

 
Top
Bongohots.blospot.Com