Mwanamuziki
wa kizazi kipya na msanii wa Bongo Movie Shilole ameweka wazi msimamo
wake wa kujitumbukiza kwenye siasa ifikapo 2015 na mipango yake ni
kugombea Ubunge jimbo la Igunga mwakani.
Akiongea kwenye kipindi cha SIZ Kitaa kinachorushwa na Clouds TV, Shilole ameweka wazi nia yake sasa ni kujitumbukiza kwenye siasa na nia yake ni kuwatetea wasanii na maswala mengine yahusua wakina mama.
Katika mahojiano hayo Shilole hakutaja atagombea ubunge kupitia tiketi ya chama gani lakini alisikika na kusisitiza nia yake hiyo na kusema anataka awe mbunge 2015 aidha kwa viti maaluma au kugombea na yeye anaimani atashinda Igunga kwa sababu anakubalika

0 comments :
Post a Comment