Mmoja
kati ya wanasayansi maarufu hapa duniani amegundua kuwa watu wanene
wanapata raha zaidi katika tendo la ndoa ukilinganisha na wtu wembamba.
Mwanasayansi huyo aitwaye Dr. James Watson ambaye amekwishawahi kushinda
tuzo za NOBEL kwa ubingwa wake ulipelekea ugunduzi wa muundo wa
DNA,anaamini kabisa kuwa watu wanene wana uwezo mkubwa wa kufurahia
tendo la ndoa kuliko wembemba.
Watu wanene wanazo sababu za kibiology zinazowafanya waweze kupata raha zaidi wafanayapo tendo la ndoa. Ktk uchunguzi wake wa kemikali mbalimbali zilizomo kwenye wa mwanadamu Dr. Watson ameona kuwa mafuta ya mwili yanaongeza kemikali iitwayo ENDORPHIN inayosababisha mtu ajisike raha. Kwa watu wembamba aligundua kuwa upungufu wa mafuta mwilini ulisbabisha ubongo usiapate ENDORPHINS za kutosha hivyo kupelekea kuwepo na upungufu wa raha katika tendo la ndoa. Watu wanaosema kuwa kufanya tendo la ndoa na watu wanene hakuna raha na ni kazi ngumu ni waongo kabisa. Ukweli ni kwamba raha ya tendo la ndoa haipungui utamu wake kutokana na unene wa mtu, bali hupungua kutokana na ukosefu wa ufundi na hofu zisizo na msingi wowote. Hofu ya kushindwa kumridhisha mwenzio siku zote lazima itakuzuia usipate raha kamili katika jambo lolote lile.

Wanawake wengi wanene wanajiona kuwa hawathaminiki kwa wanaume kutokana na unene wao, hali hiyo usababisha kuharibu mvuto wao na wengi huachwa sio kwa sababu ya unene wao,bali kwa sababu ya kukosa uchangamfu utokanao na hali ya kujiamni. Mtu akiwa na historia ya kuachika anajenga hofu ya kuchika katika uhusiano wowote ule, na hofu humfanya apoteze matumaini. Hali ya kutokuwa na matumaini humpunguzia mguvu ya kujiboresha yeye mwenyewe na kuboresha uhusiano anaoanzisha. Iwapo wanawake wanene hawaamini kuwa wao pia wanastahili mambo mazuri zaidi, basi watabaki katika tundu lenye huzuni na msikitiko tele

0 comments :
Post a Comment