Basi aina ya YUTONG la kampuni ya LIM SAFARI imepata ajali mbaya eneo la kwa Mdulu maeneo ya Korogwe katika mkoa wa Tanga.Lakini cha kushukuru mungu wote walinusurika,raia wawili wakigeni waliokua pembezoni mwa barabara wamejurihiwa na wachache wamechubuka sehemu mbalimbali za mwili.Basi hilo lilikua likitoka Dar kwenda Arusha,basi hilo lenye usajili wa number T578CQR.


0 comments :

Post a Comment

 
Top
Bongohots.blospot.Com