kupendwa
na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake
kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini
akapendamweyevigezo vichache. Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana
wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.
1. Kujiamini
2. Mcheshi
3. Mwenye utashi
4. Anayetoa msaada unapohitajika
5. Anaetunza siri
6. Mwenye kujithamini
7. Mwenye malengo / makini
1. Kujiamini
2. Mcheshi
3. Mwenye utashi
4. Anayetoa msaada unapohitajika
5. Anaetunza siri
6. Mwenye kujithamini
7. Mwenye malengo / makini
8. Mwenye mawazo mapana
9. Muwazi na mkweli
10.Anayeridhika
11. Aliyeshupavu na jasiri
12. Mwenye huruma
12. Mwenye huruma
13. Anaesamehe
14. Hadhi na heshima
15. Hisia ya uadilifu.

0 comments :
Post a Comment