Niliwahi kusikia jamaa mmoja akisema kuna baadhi ya wanawake
hupendeza zaidi wanapojifungua. Kim Kardashian anaweza kuwa sehemu ya
ushahidi wa alichokisema huyu jamaa.
Mama North West amewatoa polisi wa New York katika umakini wa kulinda na kuanza kumtupia jicho kwa wizi wizi huku kamera za paparazzi zikilinasa tukio hilo.

Kivazi chake na mwendo wa pozi vilichangia hasa kuwahamisha polisi hao katika ‘lindo’ kisaikolojia. Macho hayana pazia.

0 comments :
Post a Comment