Majeruhi
wakiwa wamelala na kukaa baada ya basi la Moro Best lililokuwa linatoka
Mpwapwa kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na lori eneo la
Pandambili.
Watu ishirini wapoteza maisha na wengi kujeruhiwa baada ya basi aina
marcopolo la kampuni ya MOROBEST kugongana usokwa uso na lori eneo la
pandambili ambapo basi hilo lilikua likitokea mpwapwa kwenda
Daresalam.Majeruhi wote wamefikishwa katika
0 comments :
Post a Comment