Wanaume wengi sana sikuizi wanapata jangahili lakukosa hamu yakufnya
tendo la ndoa pamoja na ukosefu wa nguvu za kiume,na hii inatokana na
mambo meng sana ambayo wanakua wanayafnya bila wao kujua madhara
yake.mfno.upigaji wa punyeto,vyakula vyenye mchanganyiko wa
kimekimali(vilivyovundikwa),mawazo mengi ambayo saa nyingine
yanampelekea kutokupata hamu yakufanya tendo la ndoa,uangaliaji wa
filamu za ngono kupita kiwango.nk.Vitu vifuatavyo vitakusaidia kama
utakua na ww ni mmoja wapo wa watu wanaosumbuliwa na haya matatizo.
1.Ndizi mbivu....
2.Pendelea kutumia sana vitunguu saumu katika vyakula vyako
3.Karoti
4.Samaki..pendelea sana kunywa supu ya samaki(pweza,uono,dagaa nk) na usipendelee sana samaki wakupkwa na mafuta
5.Karanga
6.Maparachichi
7.Usiwe mtu wa kuwaza sana...ujaribu kupunguza mawazo.
8.Mboga za majani.
9.Nyama nyekundu
10.Mayai
11.Binjira
12.Mawese.
13.Korosho
14.Pilipili
15.Papai
16.Miogo
17.Ngogwe
18.Bamia
17.Ngogwe
18.Bamia
Pendelea sana kula vitu asilia kuliko vyakutengeneza na pia utumiaji wa
dawa za kemikali katika ufanyaji wa mapenzi ni hatar sana maana
vinafanya kazi kwa mda ule tuu ila kwa baadae vina madhara makubwa sana.

0 comments :
Post a Comment