Tamasha la Fiesta linaloandaliwa na clouds media
linatarajiwa kuanza 9 August 2014.Kwa mujibu wa mratibu wa tamasha hilo
Sebastian Maganga amesema tamasha hilo kwa mwaka huu ltakuwa na mvuto wa aina
yake huku kauli mbiu ikiwa ni SAMBAZA UPENDO ufunguzi utafanyika mkoani Mwanza
katika uwanja wa CCM kirumba huku idadi ya wasanii ikitarajiwa kuongezwa
tofauti na mwaka jana na baadhi ya mikoa kuongezwa katika list ya mikoa ambayo
Serengeti fiesta itafanyika.
0 comments :
Post a Comment