WAPO wanaojuta kupenda lakini mbaya zaidi wapo wanaolia kwa sababu ya vitu vidogo vidogo ambavyo vimekuwa haviwaendei sawa katika uhusiano wao.
Ni jambo lililo wazi kwamba, usaliti umekuwa ukiwatesa wengi tena ukijaribu kuchunguza sababu za baadhi ya watu kuwasaliti wapenzi wao, kutoyajua mapenzi yale
ya faragha ni mojawapo.

apo wasichana au niseme wanawake ambao kimaumbile wana mvuto sana.Wamejaaliwa uzuri wa sura na kila kitu kiasi cha kutamaniwa na kila mwanaume wanayekutana naye.Lakini linapozungumziwa suala la mapenzi kwa mwanamke, wanaume wanaangalia vitu vingi, achilia mbali hilo la muonekano, pia wanaangalia utundu na ubunifu wa faragha. Hapo ndipo panapowakosesha raha baadhi ya wanawake wazuri.

0 comments :

Post a Comment

 
Top
Bongohots.blospot.Com