Mgambo
wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata akinadada
wanaofanya biashara ya kuuza miili yao maarufu kama Machangudoa katika
eneo la Sinza. Picha hizi ( juu) zinaonesha namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria
0 comments :
Post a Comment