Wanafunzi wawili, wa kike ana miaka 14
(darasa la saba), wa kiume miaka 15 (kidato cha kwanza) mjini Morogoro
wanadaiwa kukutwa ndani ya gesti moja ikisemekana walikuwa na lengo la
kuivunjilia mbali amri ya sita ya Mungu.
Tukio hilo lililojaza umati lilijiri hivi karibuni katika gesti hiyo
ambayo inadaiwa haina usajili halali iliyopo jirani na soko.
(Bonyeza hapa uangalie video ya wanafunzi hao walivyokuwa wakijiandaa kufanya ngono, Like page hii kwanza ili ujione mambo ya wanafunzi gesti) Bonyeza hapa uangalie video ya wanafunzi hao walivyokuwa wakijiandaa kufanya ngono, Like page hii kwanza ili ujione mambo ya wanafunzi gesti)
(Bonyeza hapa uangalie video ya wanafunzi hao walivyokuwa wakijiandaa kufanya ngono, Like page hii kwanza ili ujione mambo ya wanafunzi gesti) Bonyeza hapa uangalie video ya wanafunzi hao walivyokuwa wakijiandaa kufanya ngono, Like page hii kwanza ili ujione mambo ya wanafunzi gesti)
Habari
zinasema kuwa, siku hiyo denti wa kike alitumwa sokoni na mama yake
kununua mahitaji mbalimbali ya chakula lakini alichelewa kurudi.
Ikazidi kudaiwa kuwa mama yake alimfuatilia huku akiwauliza watu,
ndipo mbeya mmoja akamtonya kuwa amemwona binti yake akiingia gesti hiyo
na kivulana! Mama wa watu, akiwa na mshangao, naye alizama ndani na
kuwakuta chumba namba 5.
Mwandishi alifanikiwa kutinga eneo la tukio wakati wa sekeseke
hilo na kuzungumza na mashuhuda wawili, Asha Chande na Tausi
Omary. Alipowahoji walisema waliwaona wawili hao
wakizama ndani ya gesti hiyo na walishangaa kwa nini walikubaliwa kwa
vile wote ni watoto.
”Baada ya muda mama mmoja mtu mzima alifika hapa akiwa amefura kwa
hasira, akadai binti yake aliyemtuma sokoni ameingia gesti, mara na
yeye akaingia ndani, alimkuta yupo na mvulana huyo huku mfuko aliotumwa
nao sokoni binti wa kike ukiwa chini ya kitanda.
“Aliwafurumusha, kivulana kimekimbia zake na huyu binti ndiyo kama
hivi. Mbaya zaidi hapa ni sokoni, watu wameacha biashara na kujaa,”
alisema Tausi.
Wakati sakata hilo likiendelea, baadhi ya watu walitaka kumwangushia
kipondo denti huyo wa kike kwa kitendo chake cha kuacha alichotumwa na
kuzamia kwenye mapenzi akiwa bado mwanafunzi.
Baadaye polisi wa pikipiki walifika na kumchukua denti huyo kwa
lengo la kumuokoa na kipigo na kwenda naye Kituo Kikuu cha Polisi
Morogoro ambapo ilidaiwa kuwa polisi walishauri wazazi wa watoto hao
wakayamalize nyumbani.
Juhudi za mwanahabari wetu kutaka kuzungumza na mlinzi wa gesti hiyo ziligonga mwamba baada ya muda mwingi kufunga geti kubwa.
Chanzo: Risasi Mchanganyiko/Gpl
Chanzo: Risasi Mchanganyiko/Gpl


0 comments :
Post a Comment